Baraza la Mitahani la taifa (Necta) leo Julai 11 2019 limetangaza rasmi matokeo ya kidato cha sita Nchini ambapo ufaulu umeonekana kupanda ukilinganisha na mwaka wa jana.
Hizi hapa Shule 10 bora zilizofanya vizuri kwa mwaka 2018/2019;
1. KISIMIRI, ARUSHA
2. FEZA BOYS,DAR ES SALAAM
3. AHMES,PWANI
4. MWANDET, ARUSHA
5. TABORA BOYS, TABORA.
6. KIBAHA,PWANI.
7. FEZA GIRLS, DAR ES SALAAM.
8. ST. MARRY MAZINDE JUU,TANGA
9. CANOSSA,DAR ES SALAAM
10. KEMEBOS, KAGERA.
Shule 10 za mwisho kitaifa
1. NYAMUNGA, MARA.
2. HAILE SALASSIE MJINI MAGHARI.
3. TUMEKUJA,MJINI MAGHARIB
4. BUMAANGI,MARA
5. BUTULI,MARA
6. MPENDAE, MJINI MAGHARIB
7. ECKERNFORD, TANGA.
8. MSIMBO, KATAVI.
9. MONDO, DODOMA.
10. KIEMBE SAMAKI A MJINI MAGHARIB
No comments:
Post a Comment